• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Utawala na Utumishi

Idara ya Utawala na Utumishi ni miongoni mwa Idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Majukumu na wajibu wa Idara hii ni pamoja na:

  • Idara hii imekuwa ikifanya kazi za watumishi kwa kushirikiana na Idara zingine ili kufikia malengo yake, Shughuli hizo ni pamoja na;
  • Kusimamia, Kutafsiri na Kuzingatia Sera, Kanuni na taratibu za Mafunzo ya kiutumishi kama zilivyoainishwa na Serikali na kushiriki kutoa mafunzo mbalimbali.
  • kuratibu shughuli zote za Mikutano na Vikao vya Kisheria katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kuendesha Upimaji wa utendaji kazi kwa Watumishi kwa mujibu wa Sera ya Menejiment na Ajira.
  • Kusimamia na Kuratibu shughuli zote za Ajira katika Halmashauri.
  • Kusimamia masuala yote ya nidhamu za Watumishi katika Halmashauri.
  • Kuandaa bajeti ya mishahara ya Watumishi katika Halmashauri.
  • Kuanisha na kutoa ushauri kuhusu mahitaji na mipango bora ya mahitaji ya Watumishi.
  • Kuratibu shughuli za Mafunzo kwa Watumishi katika halmashauri kwa kuzingatia Mpango wa mafunzo wa Halmashauri.
  • Kutafsiri na kutekeleza Sheria za Utumishi Serikalini, Kanuni za Utumishi wa Umma, Kanuni za kudumu na Nyaraka mbalimbali zinazohusu watumishi, zinazotolewa na Serikali.
  • Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji ipasavyo kuhusu masuala yote yanayohusu Maslahi ya Watumishi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI BUSOKELODC December 02, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI January 18, 2021
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA BUSOKELO December 18, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • UZINDUZI WA BALAZA JIPYA LA MADIWANI

    December 16, 2020
  • Huu sio wakati wa kulalamikia masuala ya Kitaifa-Chalamila

    July 03, 2019
  • DC Rungwe awataka vijana kujitambua

    June 08, 2019
  • Umakini unatakiwa katika kusimamia miradi-Chalya

    June 08, 2019
  • Angalia zote

Video

Uzinduzi wa gulio soko la Kisegese
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.