Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo anawatangazia kuwa Ofisi yake inatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji wa kazi watakaofaulu usaili kufuatia Tangazo la kazi la tarehe 6 Aprili, 2018. Usaili huo wa Mchujo na wa ana kwa ana (Written and Oral Interview) utafanyika tarehe 10 Mei, 2018 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo kuanzia saa 2. 00 Asubuhi.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded.busokelo@mbeya.go.tz
Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.