• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Finance and Trade

Majukumu ya Idara ya Fedha na Biashara;

  • Inatoa ushauri wa mambo yote yanayohusu fedha;
  • Idara ya Fedha inashirikiana na Idara ya Mipango kuandaa makisio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha;
  • Kusimamia na kudhibiti mfumo wa kifedha na kutunza nyaraka na kumbukumbu za fedha;
  • Idara ya Fedha inaandaa taarifa zote za fedha zinazohusu mapato na matumizi ukilinganisha na bajeti na kutoa ushauri wa mapato na matumizi kutokana na taarifa hizo;
  • Kuandaa mezania ya hesabu za mwaka wa fedha husika na taarifa zingine za fedha zinazohitajika kwa Waheshimiwa Madiwani;
  • Kuhakikisha mfumo wa ndani wa ki-hasibu (Internal Control) unafanya kazi, kusimamia sheria, kanuni na taratibu zote za fedha;
  • Kusimamia na kutunza mali za Halmashauri na mifumo ya kielektroniki ya mapato na matumizi (EPICOR).

Kitengo cha Biashara:

  • Kuratibu utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni na Taratibu za sekta za Viwanda, Biashara na Masoko katika Mamlaka za Serikali za Mitaa;
  • Kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wadogo walioko katika sekta binafsi katika eneo lililo chini ya mamlaka ya serikali za mitaa.
  • Kupokea, kuchambua na kuunganisha taarifa za uzalishaji katika sekta ya Viwanda, Biashara na Masoko na kutoa taarifa OWM-TAMISEMI, Wizara ya Viwanda na Biashara na kwenye Sekretarieti za Mikoa na kushauri ipasavyo;
  • Kushauri na kuratibu shughuli za usajili wa shughuli za biashara katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (Business Activities Registration) kwa mujibu wa sheria;
  • Kupendekeza namna ya kuboresha mazingira wezeshi ya biashara kwa madhumuni ya kurahisisha taratibu za kuanzisha biashara nchini na kushauri namna ya kuikuza Sekta Binafsi kwa lengo la kuifanya ya ushindani;
  • Kuwasiliana na Wizara/Taasisi na Mashirika yanayosimamia sheria/kanuni za kufanya biashara ili kupata takwimu kwa ajili ya kutathimini mwenendo wa biashara;
  • Kutoa ushauri juu ya mifumo ya kuwakinga wakulima na madhara ya mabadiliko ya bei (community price risk management) kama vile mfumo wa Stakabadhi Ghalani na kuhakikisha unapanuliwa kwa mazao yanayozalishwa na wakulima katika Wilaya na kuinua kipato cha wakulima;
  • Kuratibu maendeleo ya biashara ndogo, kati, kubwa na sekta isiyo rasmi na kutoa taarifa OWM-TAMISEMI, na Wizara ya Viwanda na Biashara na uwekezaji.
  • Kutoa mapendekezo ya kuboresha Sera za sekta za Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika ngazi ya Mamlaka za Serikali za Mitaa na kuratibu mikutano ya kisekta kwa kushirikiana na wizara OWM-TAMISEMI or Mkoa.
  • Kutoa ushauri ya dhana ya wilaya moja zao moja (one village one product concept) kulingana na fursa zilizopo kwa kuzingatia ushindani wa soko (comperative and competitive advantage katika mamlaka za serikali za mitaa.
  • Kutathimini mwenendo wa biashara kwa kuangalia hali ya masoko ya ndani na nje ya nchi na kuandaa chati ya kuonyesha hali ya biashara kwa kipindi cha robo, nusu na mwaka.

Announcements

  • Tangazo la Nafasi za Kazi April 09, 2018
  • TANGAZO LA BODI YA MIKOPO January 19, 2018
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA January 19, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) - 2017 January 31, 2018
  • View All

Latest News

  • Stop misleading statements of the President-Ngilangwa

    April 24, 2018
  • Distribute electricity house to house – Minister of energy

    April 21, 2018
  • Jukwaa la uwezeshaji Wanawake litumike kuinua uchumi wa viwanda Busokelo.

    March 08, 2018
  • Kampuni ya ununuzi wa Kokoa Busokelo yakarabati majengo ya shule.

    February 27, 2018
  • View All

Video

Ujumbe wa Rais
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Barua pepe

Related Links

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Tume ya Utumishi ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded.busokelo@mbeya.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Busokelo DC . All rights reserved.